HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 6, 2025

RAIS DKT.SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA UNESCO IKULU JIJIN DAR

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuatana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi Audrey Azoulay,  wakati Mkurugenzi huyo alipofika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Machi, 2025.



 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad