Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inaendelea na kampeni yake ya kutoa elimu ya kodi kwa wafanyabiashara kwa kutembelea maduka moja kwa moja katika mitaa ya Sokoni na Gineri, Singida Mjini. Lengo la kampeni hii ni kuwaelimisha kuhusu ulipaji kodi, kusikiliza changamoto zao, na kukusanya maoni yanayohusu masuala ya kodi.
No comments:
Post a Comment