HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 25, 2025

Rais Dkt. Samia aendelea na Ziara yake ya Kikazi Handeni Mkoani Tanga

 


Muonekano Jengo la Halmashauri ya Mji Handeni kabla ya ufunguzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 25 Februari, 2025.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Jengo la Halmashauri ya Mji Handeni ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi Mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Halmashauri ya Mji Handeni ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad