Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
ametembelea na kukagua mafunzo ya vitendo kwa Maafisa Waandikishaji
Wasaidizi ngazi ya Jimbo wa Halmashauri ya Jiji la Tanga na Halmashauri
ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga katika siku ya pili na ya mwisho ya
mafunzo yao leo Februari 7,2025.
Uboreshaji
wa Daftari utafanyika Mkoa wa Tanga kwenye Halmashauri ya Jiji la
Tanga, Halmashauri za Miji ya Handeni na Korogwe na Halmashauri za
Wilaya ya Kilindi, Lushoto na Muheza sambamba na Mkoa wa Pwani kuanzia
Februari 13 hadi 19,2025 ambapo vituo vitakuwa vinafunguliwa saa 2:00
asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni.
Akizungumza
na Maafisa hao Mhe. Jaji Mwambegele aliwasisitiza kutambua umuhimu wa
zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kitaifa na
kuwahimiza pia kushirikiana na wadau wa Uchaguzi wakiwepo Vyama vya
Siasa alivyovitaka vihakikishe vinateua mawakala katika kila kituo ili
waweze kusaidia kuwatambua wananchi kutoka maeneo husika.
Mjumbe
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Asina
Omari, leo tarehe 07 Februari, 2025 ametembelea mafunzo ya Maafisa
Uandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kata katika ukumbi wa shule ya Sekondari
ya Mwinyi, uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga ikiwa ni siku ya
pili ya Mafunzo hayo.
Uboreshaji
wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Pwani na Tanga katika
Halmashauri za Wilaya Lushoto, Kilindi, Muheza, Korogwe, Mji wa Korogwe,
Mji wa Handeni na Jiji la Tanga unatarajia kuanzia tarehe 13 Februari
hadi 19 Februari, 2025 na vituo vya kuandikisha Wapiga Kura
vitafunguliwa kuanzia saa 2:00 Asubuhi na kufungwa saa 12:00 Jioni kwa
muda wa siku Saba.Mjumbe
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Magdalena Rwebangira, amewataka
watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, ngazi Kata,
kuwa waadilifu wakati wote wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao.
Mhe.Rwebangira ametoa maelekezo hayo leo Februari 07, 2025,
alipotembelea mafunzo kwa watendaji hao katika Halmashauri ya Wilaya ya
Handeni, mkoani Tanga, ambapo pia amewasisitiza kuzingatia mafunzo hayo,
ili wakaweze kutekeleza majukumu hayo kwa ufanisi. Mafunzo hayo ni
sehemu ya maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura,
unaotarajiwa kuanza Februari 13, 2025 hadi Februari 19, 2025, katika
mikoa ya Pwani na Tanga katika Halmashauri ya Jiji la Tanga, Halmashauri
za Miji ya Handeni na Korogwe na Halmashauri za Wilaya ya Kilindi,
Lushoto na Muheza.
Mjumbe
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe.Dkt. Zakia Mohamed Abubakar
ametembelea mafunzo ya Maafisa Uandikishaji wasaidizi ngazi ya kata wa
Halmashauri ya Wilaya ya Mafia mkoani Pwani ikiwa ni siku ya pili ya
mafunzo hayo.
Uboreshaji
wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mikoa ya Pwani na Tanga katika
Halmashauri za Wilaya Lushoto, Kilindi, Muheza, Korogwe, Mji wa Korogwe,
Mji wa Handeni na Jiji la Tanga unatarajia kuanzia tarehe 13 Februari
hadi 19 Februari, 2025 na vituo vya kuandikisha Wapiga Kura
vitafunguliwa kuanzia saa 2:00 Asubuhi na kufungwa saa 12:00 Jioni kwa
muda wa siku Saba.
Afisa Mwandikishaji wa Halmashauri ya Jiji la Tanga , Mwanaidi Nondo, akiwa katika mafunzo hayo.Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
ametembelea na kukagua mafunzo ya vitendo kwa Maafisa Waandikishaji
Wasaidizi ngazi ya Jimbo wa Halmashauri ya Jiji la Tanga na Halmashauri
ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga katika siku ya pili na ya mwisho ya
mafunzo yao leo Februari 7,2025.
Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
ametembelea na kukagua mafunzo ya vitendo kwa Maafisa Waandikishaji
Wasaidizi ngazi ya Jimbo wa Halmashauri ya Jiji la Tanga na Halmashauri
ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga katika siku ya pili na ya mwisho ya
mafunzo yao leo Februari 7,2025.
Mwenyekiti
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele
ametembelea na kukagua mafunzo ya vitendo kwa Maafisa Waandikishaji
Wasaidizi ngazi ya Jimbo wa Halmashauri ya Jiji la Tanga na Halmashauri
ya Wilaya ya Muheza mkoani Tanga katika siku ya pili na ya mwisho ya
mafunzo yao leo Februari 7,2025.
Mjumbe
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Asina
Omari, leo Februari 07 , 2025 ametembelea mafunzo ya Maafisa
Uandikishaji Wasaidizi ngazi ya Kata katika ukumbi wa shule ya Sekondari
ya Mwinyi, uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga ikiwa ni siku ya
pili ya Mafunzo hayo.
Mjumbe
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Magdalena Rwebangira akitembelea
mafunzo kwa mafunzo ya vitendo kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi
ngazi ya Jimbo katika Hamashauri ya Wilauya ya Handeni mkoani Tanga,leo
Februari 07, 2025, ambapo pia amewasisitiza kuzingatia mafunzo hayo, ili
wakaweze kutekeleza majukumu hayo kwa ufanisi.
Mjumbe
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe.Magdalena Rwebangira akitembelea
mafunzo kwa mafunzo ya vitendo kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi
ngazi ya Jimbo katika Hamashauri ya Wilauya ya Handeni mkoani Tanga,leo
Februari 07, 2025, ambapo pia amewasisitiza kuzingatia mafunzo hayo, ili
wakaweze kutekeleza majukumu hayo kwa ufanisi.Mjumbe
wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe.Dkt. Zakia Mohamed Abubakar
akitembelea mafunzo ya kwa vitendo ya Maafisa Uandikishaji wasaidizi
ngazi ya Kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia mkoani Pwani ikiwa ni
siku ya pili ya mafunzo hayo.
No comments:
Post a Comment