HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 11, 2025

BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. BILIONI 1.7 UJENZI OFISI YA CCM MKOA WA SINGIDA

 

 


Matukio mbalimbali katika picha wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoenda sambamba na harambee ya uchangishaji wa fedha na vitu vingine, kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi.Jumla ya Sh.bilioni 1.7 zilipatikana. Hafla hiyo iliyowahusisha viongozi, wanachama, wafuasi wa CCM na wananchi wa kada mbalimbali, ilifanyika Ukumbi wa Jenerali Venance Mabeyo, jijini Dodoma, Februari 9,2025.
Ndg. Ahmed Misanga akifungua njia ya Mchango kwa wadao wapenda Maendeleo katika  Harambee  ya Ukamilishwaji wa Jengo la Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Singida kwa Kuchangia Shilingi Million Moja Cash.. Ndg. Ahmed Misanga (kushoto) akifurahia jambo wakati wa harambee ya uchangishaji wa fedha na vitu vingine, kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi.Jumla ya Sh.bilioni 1.7 zilipatikana.Ndg. Ahmed Misanga (katika) akiwa na wadau wa maendeleo wakati wa harambee ya uchangishaji wa fedha na vitu vingine, kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi.Jumla ya Sh.bilioni 1.7 zilipatikana.








 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad