HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 9, 2024

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam ( DAWASA) wapamda mlima Kilimanjaro

 

 

Timu ya Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam ( DAWASA) wakiendelea na  zoezi la kupanda mlima Kilimanjaro ikiwa ni shamrashamra ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Bendera ya Taifa inategemewa kufikishwa kilele cha Mlima Kilimanjaro Leo, Desemba 9, 2024.

Kauli mbiu ya Maadhimisho ya miaka 63 uhuru ni Uongozi madhubuti na ushirikishwaji wa Wananchi ni msingi wa maendeleo yetu.


 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad