Naibu Mrajis Udhibiti wa Vyama Vya Ushirika, Udhibitil, Collins wapili kutoka kudhoto wakionesha kadi za umoja zitakazowasaidia kutoa pesa nchini.
Mwenyekiti wa TRA Saccos, Pili Marwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Desemba 07, 2024 wakati wa Mkutano Mkuu wa TRA Saccos ambapo wamezindua Mfumo wa Kieletroni wa huduma za kibenki.
Mjumbe wa Bodi ya TRA SACCOS Ltd, Upendo Kunanga, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Desemba 07, 2024 wakati wa Mkutano Mkuu wa TRA Saccos ambapo wamezindua Mfumo wa Kieletroni wa huduma za kibenki.
Mjumbe wa bodi ya TRA Saccos, Joel Lema akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Desemba 07, 2024 wakati wa Mkutano Mkuu wa TRA Saccos ambapo wamezindua Mfumo wa Kieletroni wa huduma za kibenki.
Wanachama wa TRA Saccos wakiwa katika Mkutano mkuu unaofanyika leo na Kesho jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment