HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 1, 2024

PROF. MKENDA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA BARAZA LA CHUO KIKUU MZUMBE

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Baraza na Menejimenti ya Chuo Kikuu Mzumbe. Kikao hiki kimefanyika tarehe 01 Novemba 2024, katika Ukumbi wa Danida Dodoma.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akisisitiza jambo wakati wa kikao na Mwenyekiti wa Baraza na Menejimenti ya Chuo Kikuu Mzumbe. Kikao hiki kimefanyika tarehe 01 Novemba 2024, Dodoma.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Saida Yahya - Othman (kushoto) akieleza jambo kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (kulia) wakati wa kikao na Mwenyekiti wa Baraza na Menejimenti ya chuo hicho. Kikao hiki kimefanyika tarehe 01 Novemba 2024, Ukumbi wa Danida Dodoma.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha (aliyesimama) akitoa utambulisho wa viongozi wa chuo kwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (kulia) wakati wa kikao na Mwenyekiti wa Baraza na Menejimenti ya Chuo hicho. Aliyeketi (katikati) ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Saida Yahya-Othman. Kikao hiki kimefanyika tarehe 01 Novemba 2024, Dodoma.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Saida Yahya-Othman (Kulia), Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha (Katikati) na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Mipango, Fedha Na Utawala, Prof. Allen Mushi (Kushoto) Wakiwa Kwenye Kikao na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda na Mwenyekiti wa Baraza na Menejimenti ya Chuo hicho. Kikao hiki kimefanyika tarehe 01 Novemba 2024, Dodoma.
Mkurugenzi wa Utawala na Menejimenti ya Rasimali watu na Chuo Kikuu Mzumbe, Bi. Sophia Mchomvu (kushoto) na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Bi. Lulu Mussa (kulia)  wakiwa kwenye kikao na  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda na Mwenyekiti wa Baraza na Menejimenti ya Chuo hicho. Kikao hiki kimefanyika tarehe 01 Novemba 2024, Ukumbi wa Danida Dodoma.
Kaimu Katibu wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe, Wakili Eveline Kweka akiwa kwenye kikao na  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda na Mwenyekiti wa Baraza na Menejimenti ya Chuo hicho. Kikao hiki kimefanyika tarehe 01 Novemba 2024, Ukumbi wa Danida Dodoma.

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Mipango, Fedha na Utawala, Prof. Allen Mushi akiwa kwenye kikao na  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda na Mwenyekiti wa Baraza na Menejimenti ya chuo hicho. Kikao hiki kimefanyika tarehe 01 Novemba 2024, Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu, Prof. Daniel Mushi akizungumza wakati kikao na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda na Mwenyekiti wa Baraza na Menejimenti ya Chuo Kikuu Mzumbe. Kikao hiki kimefanyika tarehe 01 Novemba 2024, Ukumbi wa Danida Dodoma.
Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Peter Msofe akizungumza wakati wa kikao na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda na Mwenyekiti wa Baraza na Menejimenti ya Chuo Kikuu Mzumbe. Kikao hiki kimefanyika tarehe 01 Novemba 2024, Ukumbi wa Danida Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad