HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 28, 2024

Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia awatunuku Kamisheni Maafisa wanafunzi 236 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika Chuo TMA Monduli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awatunuku Kamisheni Maafisa wanafunzi 236 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha.




Matukio mbalimbali wakati wa sherehe za kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi 236 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 28 Novemba, 2024












 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 28 Novemba, 2024.


Maafisa wanafunzi wakivalishana vyeo mara baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan katika sherehe zilizofanyika kwenye Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 28 Novemba, 2024



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima kabla ya kutunuku Kamisheni Maafisa wanafunzi 236 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 28 Novemba, 2024


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad