Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Ndani kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Ndositwe Haonga amefungua mkutano wa 19 wa Mamlaka za Mapato katika nchi za Afrika Mashariki wenye lengo la kushirikishana mbinu na mikakati mbalimbali ya maadili ili kupambana na vitendo vya rushwa vinavyopelekea upotevu wa kodi.
Wednesday, October 23, 2024

Home
Unlabelled
Mkutano wa 19 wa Mamlaka za Mapato Afrika Mashariki Wafunguliwa Arusha
Mkutano wa 19 wa Mamlaka za Mapato Afrika Mashariki Wafunguliwa Arusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment