HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 6, 2024

WIKIENDI INAANZA KIBABE NA MERIDIANBET LEO


WIKIENDI yako inaanza kibabe kupitia kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet ambapo itachezwa michezo kadhaa ambayo itatoa fursa ya wewe mteja wao kuianza wikiendi kibabe leo Ijumaa kwa kupiga mamilioni.

Ukikubali kupitwa na Ijumaa ya kibabe leo ni wewe tu kwani itajumuisha michezo mikubwa kutoka barani ulaya na Afrika, Kwani michuano ya Uefa Nations League inaendelea leo lakini pia michezo ya kufuzu michuano ya mataifa Afrika mwaka 2025 nchini Morocco itapigwa leo.

Leo kutakua na mchezo mkali wa michuano ya Uefa Nations League kati ya timu ya taifa ya Ufaransa dhidi ya Italia, Mchezo ambao unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa kwani Ufaransa wana timu nzuri huku Italia wao wakionekana kuanza kurejea kwenye makali yao chini ya kocha Luciano Spaletti.

Mchezo mwingine wa Uefa Nations League utakua baina ya nchini iliyobarikiwa vipaji timu ya taifa ya Ubelgiji ambao watakua nyumbani kumenyana na timu ya taifa ya Israel, Mchezo ambao Ubelgiji amepewa nafasi kubwa ya kuibuka na matokeo.

Wanafainali wa michuano ya mataifa ya Afrika mwaka 2012 timu ya taifa ya Ivory Coast dhidi ya Zambia leo watashuka dimbani katika kipute kikali cha kutafuta alama tatu muhimu za kuwapeleka Afcon ya Morocco mwaka 2025, Mchezo huu unatarajiwa wenye kuvutia kutokana na rekodi za timu hizi kila zinapokutana.

Timu ya taifa ya Mali itakua nyumbani leo kuikaribisha timu ya taifa ya Msumbiji katika mchezo wa kufuzu mataifa ya Afrika mwaka 2025 pale nchini Morocco, Mali wanapewa nafasi kubwa kuibuka na ushindi mchezo huu lakini Msumbiji pia sio timu rahisi na inaweza kutoa ushindani mkubwa.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad