HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 8, 2024

SHINDA MKWANJA LEO KUPITIA MICHUANO YA UEFA NATIONS LEAGUE NA MERIDIANBET

 


USIJIULIZE sana utaimalizaje wikiendi yako kibabe kwani Meridianbet wapo kuhakikisha wikiendi inamalizika kibabe sana, Kwani leo itapigwa michezo ya Uefa Nations League na itakupa fursa ya kupiga mkwanja wa kutosha.

Michuano ya Uefa Nations League kwasasa ndio imebaki kama mkombozi kipindi hiki ligi zimesimama, Kwani inapigwa michezo mikali na kampuni ya Meridianbet pale kwenye tovuti yao wanamwaga Odds za kutosha, Hivo unarahisishiwa kazi ya kunyakua mkwanja.

Ronaldo na chama lake timu ya taifa ya Ureno watashuka dimbani leo kumenyana na timu ya taifa ya Scotland ambao wataongozwa na Scott Mctominay, Mchezo huu Ureno amepewa nafasi kubwa ya kushinda weka ubashiri wako ujishinidie mkwanja.

Kipute kingine kikali leo ni mchezo kati ya timu ya taifa ya Uswisi ambao watakua nyumbani kumenyana na mabingwa wa ulaya timu ya taifa ya Hispania, Mchezo huu unatarajiwa kua upinzani mkali kwelikweli kwakua rekodi zinaonesha kila zinapokutana timu hizi mchezo hua mgumu.

Baada ya kupokea kichapo siku mbili nyuma kutoka kwa Uteno timu ya taifa ya Croatia chini ya nahodha Luca Modric leo watakua nyumbani kumenyana na timu ya taifa ya Poland, Hizi ni timu ambazo zinatoshana nguvu hivo anaweza kupata matokeo yeyote katika mchezo huu.

Timu ya taifa ya Denmark baada ya kuifunga timu ya taifa ya Uswisi mchezo uliopita leo watakua dimbani kumenyana na Serbia mpinzani mgumu ambaye alimlazimisha sare Hispania mchezo uliomalizika, Hivo mchezo huu unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa na timu zote zimepewa Odds nono pale Meridianbet.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad