HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 9, 2024

Wezi walioniibia warejesha vitu wakilia kilio cha ajabu!

Vijana katika kutafuta maisha tunapitia mambo mengi sana, hadi unaona mtu anafanikiwa kimaisha sio jambo rahisi, unapaswa kumpongeza maana amepitia mambo mengi sana.

Jina langu ni Alen kutokea Dar es Salaam, nimeajiriwa katika kampuni ya Ulinzi, ni kazi ambayo ina changamoto sana lakini nashukuru ndio hasa inaendesha maisha yangu hadi kuniondoa katika maisha ya umasikini.

Licha ya ugumu wa kazi yangu, niliweza kujitahidi na kupanga nyumba nzuri na kununua vitu vya ndani kama kitanda, kabati, sofa, meza, TV, radio n.k, ili ghetto langu lisiwe la kichovu sana.

Baada ya kununua vitu hivyo, kwa kweli niliweza kufurahia sana maisha yangu maana kila nikikaa ndani nilipenda kujiburudisha kwa kutazama filamu nzuri za kuvutia au kusikiliza muziki ambao unakonga roho yangu.

Hadi baadhi ya rafiki zangu walikuwa wanapenda kuja nyumbani kwangu kwa ajili ya kutazama mpira hasa wikiendi wakati wa Ligi Kuu ya England, ilikuwa ni faraja sana kujumuika na marafiki zangu wa karibu.

Basi hayo ndio yakawa maisha yangu ya kila siku, ila ghafla furaha yangu ikabadilika baada ya asubuhi moja kurejea nyumbani kwangu na kukuta nyumba imevunjwa na ndani kumeibiwa kila kitu, yaani kilichoachwa ni baadhi ya nguo zangu chafu.

Nilichanganyikiwa sana maana sikuwa na fedha tena za kununua vitu vipya vya ndani na isitoshe nilikuwa na mipango mingine ya maisha ambayo ilikuwa inahitaji fedha nyingi ambazo nilitarajia kuzipata siku za mbeleni.

Basi niliamua kwenda kuripoti tukio hilo la wizi Polisi, waliniahidi watawatafuta wote waliohusika na wizi huo, lakini siku zilizidi kwenda hakuna mtuhumiwa hata mmoja aliyeweza kutiwa nguvuni.

Ndipo nikaamua kuchukua hatua ya uhakika katika kutafuta mali zangu, nayo ni kuwasiliana na Dr Bokko, nilimuelezea shida yangu, nashukuru alinifanyia tiba na kunihakikishia ndani ya muda mfupi mali zangu zitakuwa zimepatikana.

Niliendelea na kazi zangu za kila siku kama ilivyoada, basi usiku mmoja nikiwa kazini nilipigiwa simu na jirani na kuniambia kuwa kuna watu wanalia nyumbani kwangu kwa uchungu mkubwa sana, nilirejea mara moja na kwenda kutazama ni kitu gani hicho.

Ndipo nikafika na kushughudia tukio hilo la kushangaza, watu hao walienda kuonyesha zilipo mali zangu zote ndipo tukawasiliana na Dr Bokko ambaye alitoa maelekezo yake na kuwatoza fedha ndipo wakaacha kulia kwa kelele sana.

Polisi walifika eneo la tukio na kuondoka na wezi hao. Dr Bokko anapatikana kwa namba ya simu +255618536050, wasiliana naye upate ufumbuzi wa tatizo lako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad