Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Wa kwanza Kushoto) akizungumza jambo na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Xi Jinping (kulia) katika Ikulu ya China Agosti 20, 2024. Wengine ni Maspika wa Mabunge mbalimbali Wanachama wa IPU ambao walishiriki katika kikao maalum na Rais huyo.
No comments:
Post a Comment