HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 22, 2024

Rais Dkt. Samia aweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Suluhu Sports Academy Kizimkazi ,Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar tarehe 22 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar tarehe 22 Agosti, 2024.

Shamrashamra za uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar tarehe 22 Agosti, 2024.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwandishi wa Habari na Mtangazaji Mwemba Burton maarufu kama ‘Mwijaku’ baada ya Sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar tarehe 22 Agosti, 2024.


Viongozi na Wageni mbalimbali waliohudhuria Sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar tarehe 22 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Watoto wa Suluhu Sports Academy katika eneo la mradi wa Academy hiyo, Kizimkazi Zanzibar tarehe 22 Agosti, 2024.



Michoro mbalimbali ikionesha Taswira ya Suluhu Sports Academy itakavyokuwa mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wake.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia kuhusu ujenzi wa Suluhu Sports Academy wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar tarehe 22 Agosti, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad