HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 20, 2024

MAKAMU WA RAIS AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA RUDI WILAYA YA MPWAPWA

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wananchi wa Kata ya Rudi iliyopo Jimbo la Kibakwe Wilaya ya Mpwapwa akiwa ziarani mkoani Dodoma tarehe 20 Agosti 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad