LIGI kuu ya soka nchini Hispania itaendelea leo ambapo itapigwa miwili katika viwanja viwili tofauti, Bila kusahau itapigwa michezo kadhaa ya kufuzu ligi ya mabingwa barani ulaya hatua ya makundi msimu wa 2024/25.
Kupitia michezo hii wewe mteja wa Meridianbet utaweza kupiga mkwanja wa kutosha kwani michezo hii imepewa Odds kubwa, Weka mkeka wako leo kwa timu unaziaminia wakiongozwa na Barcelona, Galatasaray, Sevilla, pamoja na Fc Salzburg.
Kwenye La Liga leo klabu ya Fc Barcelona watakua ugenini dhidi ya klabu ya Rayo Vallecano kutafuta ushindi wao wa tatu katika ligi kuu ya Hispania, Ambapo wameshafanikiwa kushinda michezo miwili ya awali.
Bado mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kuhakikisha unapigwa mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa kila siku bila kusahau wanaendelea kumwaga ODDS BOMBA kila siku.
Galatasaray leo watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Young Boys kutoka nchini Uswisi katika mchezo wa marudiano ambao utatoa tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa ulaya msimu wa 2024/25, Ambapo mchezo wa kwanza Galatasaray walipoteza kwa mabao 3-2 hivo leo wanahitaji ushindi ili kufuzu.
Aidha klabu ya Fc Salzburg wao watakua nyumbani dhidi ya Dynamo Kyiv baada ya kushinda ugenini mchezo wa kwanza, Hivo leo watahitaji kupata ushindi wa aina yyeote au sare ili kusonga mbele kwenye hatua ambayo inafuata.
No comments:
Post a Comment