KAMISHINA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Prasduce Mbossa Agosti 26,2024 wametembelea bandari ya Tanga.
Kamishna Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wamekubaliana kushirikiana kwa ukaribu zaidi ili kuongeza ufanisi kwenye shughuli za bandari na forodha zitakazo ongeza mapato ya serikali.
No comments:
Post a Comment