HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 4, 2024

Wajumbe wa Tume ya Mipango Wakutana na Timu kuu ya Kitaalamu ya uandishi wa Dira 2050

 

Picha ya pamoja ya Wajumbe wa Tume ya Mipango na Timu Kuu ya Kitaalam ya Dira 2050, kilichohudhuliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Pro. Kitila Mkumbo (Mb) aliyeketi Katikati pamoja na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba mara baada ya kumaliza kikao kazi cha timu kuu yakitaalamu ya Dira 2050 kilichofanyika katika Hoteli ya APC, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad