Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mlowo Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma tarehe 18 Julai, 2024.
Baadhi ya Wananchi wa Mlowo Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wakiwa kwenye shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 18 Julai, 2024.http://







.jpeg)
No comments:
Post a Comment