HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 4, 2024

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA FEDHA ATEMBELEA BANDA LA PSPTB

 

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya akizungumza na watumishi wa PSPTB alipotembelea Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya akipata maelezo kutoka kwa Afisa Elimu Mwandamizi kutoka PSPTB George Ngelime kuhusu kazi zinazofanywa na PSPTB alipotembelea Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya akisaini kitabu alipotembelea Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad