HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 8, 2024

MAKAMU WA RAIS AKIKAGUA UJENZI WA BARABARA YA MALAGARASI - UVINZA

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo kwa Viongozi pamoja na Watendaji mbalimbali wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara sehemu ya Malagarasi – Uvinza akiwa ziarani mkoani Kigoma tarehe 08 Julai 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisilikiza maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Nchini Mhandisi Mohamed Besta kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara sehemu ya Malagarasi – Uvinza (Kilometa 51) wakati akiwa ziarani mkoani Kigoma tarehe 08 Julai 2024.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo kwa Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Nchini Mhandisi Mohamed Besta mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara sehemu ya Malagarasi – Uvinza akiwa ziarani mkoani Kigoma tarehe 08 Julai 2024.
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad