HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 5, 2024

Ijumaa ya Leo Kitawaka na EURO 2024 Hatua ya Robo Fainali


KIPUTE cha EURO hatua ya Robo fainali kuanza leo ambapo timu zitakuwa uwanjani kuchuana vikali kuwania nafasi ya lusonga mbele. Meridianbet wamekuwekea ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 hapa. Ingia sasa na ubashiri.

Spain wataumana dhidi ya Germany ambao ndio wenyeji wa michuano hii majira ya saa moja usiku ambapo wakali wa ODDS Tanzania wanampa nafasi ya kushinda Hispania kwa ODDS 2.69 kwa 2.79.

Hispania chini ya kocha mkuu Luis de la Fuente hizi ndio njia zilizopita mpaka kufika hatua hii Robo Fainali. Kwanza amekusanya pointi zote 9 akishinda mechi zote akimfunga Croatia 3-0, akamfumua Italy 1-0, na kisha akashinda mbele ya Albania 1-0.

Robo fainali ya EURO 2024 leo kupigwa unashindwaje kupiga pesa sasa ukiwa na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet? Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Hatua ya 16 bora alipangwa na Georgia ambaye nae pia aliambulia kipondo kutokana na ubora wa wachezaji ambao wanao kama vile Yamal, Williams, Rodri, Morata na wengine ambao wanaipambani timu yao.

Kwa upande wa Germany yeye alifungua michuano na Scotland kwa kufunga 5-1, mechi ya pili akashinda dhidi ya Hungary 2-0, akamaliza na Uswizi kwa sare ya 1-1 hatua ya makundi, na hatua ya 16 bora alipewa Denmark ambaye alimfunga kwa mabao 2-0.

Ujerumani chini ya Nagelsmann wamekuwa na kiwango kinachoridhisha kwa jinsi ambavyo wanacheza lakini pia hii ndio robo fainali ambayo inasemekana itakuwa ya moto sana. Huku kuna Musiala, Leroy Sane, Rudiger, Toni Kroos,. Timu hizi mara ya mwisho kukutana walitoa sare.Je leo hii nani kushinda?. Beti sasa.

Saa nne usiku kutakuwa na mechi nyingine kali kati ya Portugal dhidi ya France ambayo inatarajiwa kuwa ni mechi ya kuvutia haswa haswa. Mechi hii ina ODDS 3.33 kwa 2.42 ambayo itarajiwa kupigwa katika dimba la Volkspark.

Ureno mpaka kufika hatua amepita kwa Czechia kwa kumpasua kwa mabao 2-1, na mechi ya pili akamenyana dhidi ya Uturuki akashinda 3-0, na akamaliza kwa kupoteza dhidi ya Georgia kwa 2-0, halafu hatua ya 16 bora akapangiwa Slovenia na kupita kwa penati 3-0.

Vijana hawa wa Roberto Martinez wana wachezaji wakubwa wenye majina makubwa kama vile Cristiano Ronaldo, Bruno Fernades, Bernado Silva, Leao na wengine wengi ambao wanatarajiwa kuibeba timu yao leo.

Vijana wa Didier Deschamps walikuwa Kundi D ambapo walianza kwa kumfunga Austri 1-0 bao la kuijifunga, wakamenyana dhidi ya Uholanzi wakatoa sare ya bila kufungana 0-0, wakamaliza na Poland wakatoa sare ya 1-1.

Hatua ya 16 bora wanafainali hawa wa Kombe la Dunia wakapangwa na Ubelgiji wakashinda 1-0 goli la kujifunga na sasa wapo Robo Fainali kusaka ushindi kwenda hatua ninyinge. Je Kylian Mbappe, Thuram, Kante, Dembele na wengine kibao watafanya nini leo. Jisajili hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad