HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 7, 2024

IGP WAMBURA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA

  

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akiwa katika picha mbalimbali na watoto waliotembelea Banda la Polisi katika Maonesho ya 48 ya Sabasaba.

IGP Wambura ametembelea Maonesho ya Sabasaba na pia kutembelea Banda la Jeshi la Polisi ili kuona namna vitengo mbalimbali vilivyopo ndani ya Jeshi hilo vinavyotoa elimu kwa wananchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad