HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 26, 2024

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA WATAALAMU KUTOKA NCHI BRAZIL IKULU ZANZIBAR

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wataalamu Maalumu kutoka Nchini Brazil Wanaojishughulisha na Mradi wa kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto (kulia kwa Rais) ukiongozwa na Bi.Camila Guedes Ariza na (kushoto kwa Rais) Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar ukiongozwa na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wataalamu kutoka Nchini Brazil Wanaojishughulisha na Mradi wa kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto, ulioambatana na Mwakilishi wa Heshima wa Brazil Zanzibar Mhe. Abdulsamad Abdulrahim (kulia kwa Rais) na Kiongozi wa Ujumbe huo Bi.Camila Guedes Ariza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Kiongozi wa Ujumbe wa Wataalamu kutoka Nchini Brazil wa Mradi wa kupunguza Vifo vya Mama na Mtoto Bi. Camila Guedes Ariza, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2024.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad