HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 5, 2024

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA MIUNDOMBINU KATI YA KOREA NA AFRIKA JIJINI SEOUL, JAMHURI YA KOREARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika. Mkutano huo ulifanyika Westin Josun Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika ambao umefanyika Westin Josun Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Tanzania na Jamhuri ya Korea ambao walihudhuria Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika, Westin Josun Jijini Seoul, tarehe 05 June, 2024

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad