HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 6, 2024

RAIS SAMIA AZINDUA VITABU VYA KISWAHILI KOREA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu vitabu vya Kiswahili kwa wasiozungumza Kiswahili mara baada ya kuvizindua kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni,2024. Kushoto ni Mwalimu wa Kiswahili Ubalozini Tunu Magembe ambaye ndiye Mtunzi wa Kitabu hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amenyanyua juu vitabu vya A Taste of East Africa mara baada ya kuvizindua wakati wa mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni,2024. Kushoto ni Mwandishi wa Kitabu hicho Chaba Mavura.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad