HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 5, 2024

KATIBU MKUU ALLY SENGA GUGU AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA ANAEWAKILISHA UMOJA WA ULAYA NCHINI TANZANIA

 


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu na Balozi wa Umoja wa Ulaya, Christine Grau (kulia) wakizungumza juu ya masuala mbalimbali yanayohusu ushirikiano katika masuala ya kudhibiti uhalifu.Kikao hicho kimefanyika Makao Makuu ndogo ya wizara jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Balozi wa Umoja wa Ulaya,anaewakilisha umoja huo hapa nchini, Christine Grau (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu juu ya masuala mbalimbali yanayohusu ushirikiano katika masuala ya kudhibiti uhalifu.Kikao hicho kimefanyika Makao Makuu ndogo ya wizara jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad