HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 20, 2024

Kasino ya Meridianbet Inakurudishia Hadi 10% ya Unachopoteza

 

Unaijua Kasino wewe!? Je, ni mara ngapi umewahi kupigwa pesa zako? Sasa usiwaze tena kuhusu kuliwa tu, Kasino ya Meridianbet mtandaoni inakurudishia 10% ya kile unachopoteza kwenye michezo yote ya kasino. Unasubiri nini kujiunga na Meridianbet.

Baada ya kujisajili unaweza kucheza mchezo wako pendwa wa kasino kama ni Super Heli, Roulette au poker na hutakuwa na wasiwasi wa kupoteza hela zako, hii ndiyo sababu ya Meridianbet kasino ya mtandaoni kupendwa Zaidi na wachezaji wengi.

Jinsi ya Kufaidika na Promosheni Hii.
Mchezaji yeyote katika kipindi cha promosheni atakayecheza mchezo au michezo yoyote ya kasino kwenye APP au tovuti ya Meridianbet na kupoteza kiasi cha 250,000 TSH - atakidhi vigezo vya kupata bonasi ya kasino au pesa taslimu katika sheria zifuatazo:

Mchezaji ambaye atapoteza kati ya 0 - 249,999 TSH kwa wiki, ana haki ya kupata 5% ya kiasi alichopoteza katika kipindi cha wiki moja kwenye akaunti yake ya bonasi ya kasino.

Ili bonasi ya kasino iweze kuwekwa kwenye akaunti ya pesa halisi, lazima izungushwe mara 50 kwenye mchezo wa sloti au kasino ya mtandaoni. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 25,000 TSH. Kiasi cha chini cha bonasi kinachoweza kulipwa ni 6,000 TSH.

Mchezaji ambaye atapoteza kuanzia TSH 250,000 – 124,999 TSH kwa wiki, ana haki ya kupata 5% ya kiasi alichopoteza katika kipindi cha wiki moja kwenye akaunti yake ya bonasi ya kasino ya mtandaoni.

Ili bonasi ya kasino iweze kuhamishiwa kwenye akaunti ya pesa halisi, lazima izungushwe mara 50 kwenye mchezo wowote wa sloti. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 125,000 TSH.

Lakini pia mchezaji ambaye atapoteza kati ya TSH 1,250,000 – 4,999,999 TSH kwa wiki, ana haki ya kupata 10% ya kiasi alichopoteza katika kipindi cha wiki moja kwenye akaunti yake ya bonasi ya kasino. Ili bonasi ya kasino iweze kuhamishiwa kwenye akaunti ya pesa halisi, lazima izungushwe mara 50 kwenye mchezo wowote wa sloti. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 750,000 TSH.

Ikiwa wewe ni mchezaji wa kawaida, wa kila siku, mwaminifu na upo katika kikundi cha wachezaji wa VIP, bila kujali kiwango cha juu cha dau ulilopoteza (TSH 250,000+), utapokea 10% ya pesa taslimu.

Dau lolote ulilopoteza linazingatiwa katika Kipindi cha siku 7 (Jumatatu-Jumapili).

Mteja anapaswa kua na bonus moja tuu wakati husika. Ili mteja akubali kupokea bonasi ya kasino ya mtandaoni, Ni lazima kutumia bonasi ya kasino iliyopo wakati huo au kuitoa.

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino ya mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad