HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 20, 2024

Huu Mchezo wa Ruulette Kasino, Unalipa Sana


Kasino
Imetawaliwa na michezo mingi, kuna mchezo waRoulette ambao Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezohuo wa kasino ya mtandaoni, ambapo yeye binafsi alikuwaakifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzakewanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. JisajiliMeridianbet ili na wewe uanze kuweka heshima kwenyekasino.

Dkt Jerecki alifariki akiwa na miaka 80 na kwa namna yakipekee mchango wake kwenye ulimwengu wa michezo yakasino utaendelea kukumbukwa.

Mchezo wa Roulette unaojulikana kama American Rouletteunapatikana kwenye kasino ya Meridianbet mtandaoni kutokakwa mtoa huduma Microgaming kwa kushirikiana na Switch Studios, wachezaji na wadau wa kasino wanathamini urahisi naufanisi wa mchezo huu wa Roulette.

Kitu pekee kinacho tofautisha American roulette na michezomengine ya roulette kutoka kasino ya mtandaoni ni uwepo wanamba mbili za sufuri (00) kwenye gurudumu.
American roulette inajumuisha gurudumu la roulette, mpira, na ubao wa mchezo. Moja ya faida kubwa yaAmerican roulette ni rahisi kucheza. Lengo la mchezo huu nikutabiri namba au kundi la namba ambazo mpirautaangukia.

Mchezo huu wa kasino ya mtandaoni ni mchezo wa RNG (Random Number Generator), ikimaanisha hakuna mchezeshajilaivu. Mchezo unabadilika kwa urahisi kati ya ubao wa kuwekadau na kuonyesha gurudumu linalozunguka. 

Lakini pia American Roulette una (00) tofauti na Roulettenyingine zenye sifuri moja, kigine ni uwepo wa namba 38badala ya 37. Kuna namba 36 za kawaida, zilizopambwa kwarangi nyekundu na nyeusi, pamoja na sufuri mbili. Sufuri mojani kijani, na nyingine ni sufuri mbili kijani.

HATUA KWA HATUA MPAKA USHINDI.

Unapoanza kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoniunapaswa kuchagua sarafu unayotaka kutumia kutoka kwenye safu na uiweke kwenye ubao. Pia kuna kitufe cha race trackkinachopatikana kusaidia dau za majirani.

Mbali na kipengele cha kucheza moja kwa moja, American Roulette hukumbuka dau lako la mwisho. Kwa hivyo, ikiwa unataka kubeti muunganiko ule ule, bonyeza kitufe cha spin.American Roulette unatoa ukurasa wa takwimu ambapo unaweza kuona data za kurasa 100 zilizopita.

Kando na kitufe cha Spin, utaona kitufe cha Clear Bets, kinachoruhusu kufuta dau lako la awali na kuanza upya. Ikiwa hauko tayari kufuta dau, lakini ungependa kucheza spin inayofuata na dau zilizopo kutoka mchezo uliopita, bonyeza tu kitufe cha redo. 

Mchezo huu pia una kitufe cha X2 Double, ambacho kinadondosha dau lako mara mbili kwa kubonyeza tu. Kushinda mchezo, unaweza kuweka Inside Bets au Outside Bets, pamoja na kubeti namba jirani.


NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino haya mtandaoni. Jisajili na Cheza nabashiri michezo mingi kwa odds kubwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad