Karibu katika ushindi usio na kifani! Burudika na Meridianbet unapocheza kasino ya mtandaoni na jishindie sehemu ya zawadi zenye thamani ya Tsh Bil 1 na bonasi za kasino kama zote. Kwa kujisajili na Meridianbet unakuwa na sifa za kushiriki kwenye promosheni hii kubwa Zaidi kwa sasa pale Meridianbet.
Meridianbet kwa ushirikiano na mtoa huduma Wazdan wamezindua promosheni ya kusisimua ambayo itadumu kwa miezi mitano! Kuanzia tarehe 29 Aprili hadi tarehe 29 Septemba, unapata fursa ya kujishindia sehemu ya zawadi zenye thamani ya hadi 1,109,338,868.
Wakati unacheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni labda wewe ndiye utakayekuwa na bahati na kushinda moja au zaidi ya zawadi za fedha zilizochaguliwa.
Ili kucheza promosheni hii weka dau unalotaka, Jisajili, na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni inayopatikana kutoka kwa mtoa huduma Wazdan.
Zawadi za pesa taslimu 100,000 zitagawiwa kwa wachezaji wenye bahati zaidi na ikiwa bahati itakuwa upande wako, unaweza kushinda moja au zaidi ya zawadi
No comments:
Post a Comment