HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 13, 2024

UKIWA NA AIRTEL NI RAHISI KUVUNA MPUNGA WA MERIDIANBET


LEO hii siku ya Jumatatu Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet pamoja na Kampuni ya simu Tanzania Artel wamekuja na promosheni kubwa kabisa ya TOBOA KIBINGWA ambayo inakuja na zawadi kedekede kabisa kama vile mizunguko ya bure pamoja na Bajaji.

Promosheni hii inaanza leo hii tarehe 13 mwezi Mei hadi Julai 13 na ni kwa wale ambao wanatumia mtandao wa Airtel pekee ambapo mteja ilikushiriki promosheni hii inabidi aweke pesa kwenye akaunti yake ya Meridianbet kuanzia shilingi elfu 25000.

Allan Rwegebora ambaye ni Meneja Mwandamizi wa Promosheni hii amewasihi wau mbalimbali kujiunga na promosheni hii kwani zawadi zipo kwaajili yao kwani zitatolewa kwa kuangalia vigezo na kwa uadilifu wote.

Ndugu mteja kumbuka kuwa kadri unavyoweka pesa kila siku ndipo unajiweka kwenye nafasi kubwa ya kuibuka mshindi pamoja na mizinguko ya bure kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni.

Ndugu mteja kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Pia Meridianbet kwa kuzingatia promosheni hii ukubwa wake, kuna zawadi za wiki zinazotolewa ambazo zitakuwa zikiwaniwa ambapo ni bonasi ya 10% ambayo hii itawekwa kwenye akunti moja kwa moja, Vilevile washindi watatu wenye bahati watachaguliwa kila wiki kupokea simu mpya za kisasa kabisa.

Wakati zawadi kuu itatolewa kwenye kilele cha promosheni ambapo washindi wakuu wawili siku hiyo watapata Bajaji mpya kabisa kama chombo cha usafiri kinachobamba mjini siku hizi.

Kwa kuongezea naye Maria Mwamyalla ambaye ni Meneja wa Airtel Money amewahimiza wateja wote ambao wanatumia Airtel kutumia fursa hii kwa kuweka pesa kwenye akaunti zao ambazo hutumia kubashiri na Meridianbet

“Wateja wa Airtel Money wanaweza kushinda zawadi hizi kwa kuweka pesa kwenye akunti zao za kubashiri kwa kupiga *150*60#, halafu Chagua Lipia Bili, kisha Chagua 4, weka namba ya kampuni, kisha andika 656565, kisha chagua ingiza akaunti id yako ya Meridianbet kama namba ya Kumbukumbu, na Ingiza kiasi, kisha thibitisha muamala” Alimaliza hivyo Meneja huyo.

Kumbuka kuwa washindi wa kila siku watapatikana kwa kuchezesha droo za kila siku, na droo kuu ya wiki itafanyika kila Ijumaa ambapo tangazo la washindi litafanyika kupitia mitandao ya Meridianbet ya kijamii. Jisaji na ushiriki.

Na mwisho kabisa Meridianbet na Airtel Money zinakuambia hivi muda ndio huu wa wewe kutoboa kwenye maisha shiriki kwenye Promosheni hii ya TOBOA KIBINGWA utimize ndoto zako sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad