HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 15, 2024

UINGEREZA, HISPANIA, UFARANSA, NA ITALIA NGOMA NZITO LEO

 

LIGI takribani nne barani ulaya leo moto utawaka kwani inakwenda kupigwa michezo kadhaa ambayo itakua inaamua hatma ya timu mbalimbali katika kubaki ligi kuu, wengine kushiriki michuano ya ulaya kwa msimu ujao

Kupitia michezo ambayo itarindima usiku wa leo mbali na kua michezo mikali lakini pia itakua inatoa nafasi kwa wateja wa kampuni bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet kuweza kupiga mkwanja wa kutosha kupitia michezo hiyo kwani imepewa ODDS KUBWA pale kwenye tovuti yao.

EPL
Klabu ya Manchester United baada ya kupoteza mchezo wa wikiendi wakiwa nyumbani dhidi ya Arsenal leo watakua nyumbani tena dhidi ya klabu ya Newcastle katika dimba la Old Trafford, Chelsea wao watakua ugenini kumenyana na klabu ya Brighton katika mchezo ambao utaweza kuwaeka Chelsea katika mazingira mazuri ya kushirika michuano ya ulaya mwakani.

LA LIGA
Klabu ya Getafe itakua nyumbani kumenyana na klabu ya Atletico Madrid, Sevilla watakua nyumbani Ramon Sanchez Pizjuan kumenyana klabu ya Cadiz,klabu ya Celta Vigo watakua nyumbani kukipiga klabu ya Athletic Club michezo ambayo itakua na ushindani mkubwa.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali ya itakayopigwa katika ligi mbalimbali barani ulaya leo Jumatano. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

LIGUE 1
Kule kunako ligi kuu ya Ufaransa kutakua na michezo kadhaa ambapo leo mabingwa wa ligi hiyo ambao wametangazwa wikiendi iliyomalizika klabu ya PSG watakua ugenini kumenyana na klabu ya OGC Nice, mchezo mwingine utakua kati ya klabu Reims ambao watakua nyumbani dhidi ya klabu ya Olympique Marseille.

COPPA ITALIA
Leo kutakua na mchezo mkali wa fainali wa michuano ya Coppa Italia kati ya klabu ya Atalanta ambao watacheza dhidi ya klabu ya Juventus, Mchezo huu unatarajiwa kua mkali na wenye mvuto mkubwa kwani utakwenda kuamua nani atakua bingwa wa michuano ya Coppa Italia kwa mwaka 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad