HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 7, 2024

PIGA PESA NA MECHI ZA UEFA

 

HATIMAYE leo hii ndio kitaeleweka nani aende Nusu Fainali na nani arudi nyumbani kwenye ligi za mabingwa ambapo leo na kesho kitawaka vilivyo yaani ni piga ni kupige. Na wewe unaweza kuondoka na kitita cha mkwanja leo.

Leo hii majira ya saa 4:00 usiku PSG baada ya kupoteza mchezo wa kwanza wa hatua za Nusu Fainali wa Ligi ya mabingwa Ulaya, leo hii atakuwa nyumbani kusaka ushindi wa kuanzia goli mbili afuzu fainali dhidi ya Borussia Dortmund.

PSG na Dortmund walikuwa kwenye kundi moja la Ligi ya mabingwa ambalo lilikuwa ni kundi F ambapo mechi ya kwanza vijana wa Luis Enrique walishinda wakiwa nyumbani mechi ya kwanza huku mechi ya pili walipokwenda Signal Iduna Park walitoa sare.

Lakini sasa hii ni mechi yao ya kulipa kisasi ambapo wanataka ushindi kwa hali na mali dhidi ya vijana wa Terzic ili wasonge mbele na kucheza Fainali yao ya pili kwenye ligi ya mabingwa. Meridianbet wamempa Paris nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kwa ODDS ya 1.47 kwa 6.07. Jisajili hapa.

Ukiachana na mechi hizo ndugu mteja kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Lakini vilevile, hapo kesho mechi nyingine ya nusu fainali ya UEFA itapigwa ambapo Real Madrid baada za kutawazwa kuwa mabingwa wa Hispania sasa nguvu zao wameelekeza kwenye Kombe hili ambalo wanataka kulichukua kwa mara ya 15 endapo watampiga Bayern Munchen kesho.

Mechi ya mwisho Bayern kuingia fainali na kuchukua UEFA ilikuwa 2019 huku kwa upande wa vijana wa Carlo Ancelloti ilikuwa ni mwaka 2022. Je hapo kesho nani kuibuka na ushindi pale Bernabeu ambapo mara ya mwisho walipokutana walito sare?.

Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi Real kwa ODDS ya 1.88 kwa 3.67. Wewe Beti yako unaiweka wapi kwenye hizi timu?. Je ni Harry Kane au Jude Bellingham kucheza fainali ya UEFA?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad