HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 13, 2024

UTEUZI BALOZI COMORO

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake.

Uteuzi huu unaanza mara moja.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad