HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 19, 2024

UNAKOSAJE PESA IJUMAA YA LEO NA MERIDIANBET?

 

IKIWA wikendi inaanza leo hii hapo baadae ligi mbalimbali zinatarajiwa kupigwa kuanzia kule Ujerumani mpaka Italia huku meridianbet wakikupa nafasi kubwa za kupiga maokoto ukisuka jamvi lako na kubashiri nao. Ingia sasa meridianbet ushinde pesa.

LALIGA leo itapigwa mechi moja majira ya saa 4:00 usiku ambapo Athletic Bilbao atakuwa mwenyeji wa Granada. Bilbao yupo nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi na mgeni wake yupo nafasi ya 19 mkiani kabisa. Mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Je leo hii nani ataondoka na ushindi? Mechi hii imepewa ODDS 1.22 kwa mwenyeji na 12.74 kwa mgeni. Suka jamvi hapa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Ligi nyingine ambayo itaendelea Ijumaa ya Leo ni SERIE A ambapo saa 1:30 kutakuw ana mtanange mzito kabisa kati ya Genoa dhidi ya Lazio ambaye yupo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi huku mwenyeji akiwa nafasi ya 12. Tofauti ya pointi kati yao ni 10 pekee ambapo mechi ya mwisho kukutana kwenye ligi, Genoa lishinda. Mechi hii imepewa ODDS 2.99 kwa 2.50. Wewe leo hii unamdhamini nani kukupa pesa? Jisajili sasa.

Juventus chini ya Allegri baada ya kulazimishwa sare mechi iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Cagliari Calcio katika Unipol Domus huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Juve kwa ODDS 1.76 kwa 4.90. Ikumbukwe kuwa mwenyeji hayupo nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi baada ya mechi iliyopita kutoa sare. Je leo hii anaweza pata pointi 3 akiwa nyumbani?. Tengeneza mkeka wako hapa.

Vilevile bila kukosa utamu wa BUNDESLIGA leo hii kuna mechi ya kusisimua vilivyo ambapo Eintracht Frankfurt atamkaribisha nyumbani kwake Augsburg huku timu hizo zikiwa zinafuatan kwenye msimamo wa ligi yaani wa 6 kwa wa 7. Wamepishana pointi 3 tuu. Mara ya mwisho kukutana, Augsburg alishinda. Je Frankfurt atalipa kisasi kwa kushinda. Bashiri mechi hii ambayo ina machaguo zaidi ya 1000, ndani ya Meridianbet.

Tukimalizia na ligi kuu ya Ufaransa leo hii, LIGUE 1 napo ni mechi moja Ijumaa ya leo OGC Nice atakipiga dhidi ya FC Lorient saa 4:00 usiku huku wakitoshana nguvu mechi ya mwisho kukutana. Meridianbet wamempendelea Nice kushinda kwa ODDS 1.50 kwa 6.07. Ikumbukwe kuwa mwenyeji yupo nafasi ya 5 kwa 16. Beti sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad