HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 21, 2024

UJANJA NI KUBETI NA MERIDIANBET

 

JUMAPILI ya leo imekaa kihela hela sana ndani ya Meridianbet yaani kuna ODDS KUBWA kuanzia ligi ya hapa nyumbani mpaka kule Ulaya, hivyo unachotakiwa kufanya wewe ni kusuka mkeka wako na kubashiri sasa.

EPL leo ni ya moto sana ambapo mechi nne zitapigwa leo Crystal Palace atakuwa mwenyeji wa West Ham United ambao wapo nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi huku mwenyeji akiwa nafasi ya 15. Meridianbet wamewapa Palace nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.35 kwa 2.89, huku mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Je leo hii nani ataondoka na pointi 3?. Bashiri hapa.

Huku kwa upande wa Aston Villa wao watakiwasha dhidi ya AFC Bournemouth ambapo timu hizi zinatofautiani sana kwenye msimamo wa ligi. Wamepishana pointi 21 huku mechi ya kwanza walipokutana, walitoa sare. Mechi hii imepewa ODDS 1.85 kwa 3.72. Jisajili sasa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Majira ya saa 12:30 jioni Liverpool baada ya kupoteza mechi yao iliyopita wakiwa nyumbani, leo hii watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Fulham ambao wao walishinda. Jogoo chini ya Klopp wapo nafasi ya 3 huku vijana kutoka Craven Cottage wakiwa 12. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Suka mkeka wako sasa.

Ligi ya Hispania pia itaendelea leo hii ambapo UD Almeria ambaye ni kibonde wa ligi atashuka dimbani kukipiga dhidi ya Villarreal majira ya saa 11:15 jioni huku mwenyeji mgeni akipendelewa zaidi kuchukua pointi tatu kwa ODDS 1.97 kwa 3.38. Tofauti ya pointi kati yao ni 25. Beti sasa mechi hii.

Nao Deportivo Alaves watapepetana dhidi ya Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao wametoka kushinda mechi yao iliyopita. Timu hizi zipo mbalimbali kwenye msimamo wa ligi yani wa 4 na wa 15. Mechi ya mkondo wa kwanza Atletico walishinda. Mechi hii ina ODDS KUBWA Meridianbet. Ingia na ubashiri.

Mechi ya mwisho leo Hispania ni hii ya EL Classico kati ya Real Madrid dhidi ya FC Barcelona ambao wapo kwenye nafasi ya kuwania ubingwa huku wakifatana kwenye ligi yani wa kwanza na wa pili. Meridianbet wamempa nafasi kubwa Ancellotti na vijana wake kushinda leo kwa ODDS 1.81 kwa 4.11, huku mechi ya kwanza Real alishinda. Wewe unampa nani leo.? Suka mkeka wako hapa.

SERIE A, kama kawaida nayo leo kuna mechi zinaendelea Torino uso kwa uso dhidi ya Frosinone huku mechi ya kwanza walipokutana, walitoka sare ya bila kufungana. Mwenyeji kushinda mchezo huu kapewa ODDS 1.68 kwa 4.90. Empoli. Beti sasa mechi hii.

Mechi nyingine ni hii ya US Salernitana dhidi ya AFC Fiorentina ambaye alishinda mechi yao ya kwanza walipoonana. Mgeni yupo nafasi ya 10 kwenye msimamo na mwenyeji ndiye kibonde wa ligi hiyo. Tofauti ya pointi kati yao ni 29. Mechi hii imepewa ODDS 5.48 kwa 1.61. Bashiri mechi hii ambayo imepewa ODDS 2.55 kwa 2.89.

Saa 3:45 AC Monza atakuwa mwenyeji wa Atalanta ambaye ambaye kushinda mechi hii kapewa ODDS 1.86 kwa 4.01. Mwenyeji ni wa 11 huku mgeni akiwa nafasi ya 7. Mara ya mwisho walipokutana, Atalanta alishinda. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi? Suka mkeka wako hapa.

Pia BUNDESLIGA mechi zipo ambapo Werder Bremen atakuwa mwenyeji wa VFB Stuttgart leo a,baye yupo vizuri sana msimu huu. Mwenyeji ametoka kupokea kipigo kizito mechi yake iliyopita. Mgeni yupo nafasi ya 3 na mwenyeji wa 12. Mechi ya mwisho VFB walishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.60 kwa 4.70. Ingia na ubashiri sasa.

Borussia Dortmund wao watawakaribisha Bayer Leverkusen ambaye ndiye bingwa wa ligi ambapo alipata mechi iliyopita. Bingwa kushinda mechi hii akpewa ODDS 2.45 kwa 2.60. Mechi ya mkondo wa kwanza walitoshana nguvu. Je leo nani ataibuka kidedea?. Tengeneza jamvi lako hapa sasa.

Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1 pia mechi zitaendelea leo ambapo Lille atakuwa mwenyeji wa Strasbourg ambao wanashika nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi huku mwenyeji akiwa wa 4. Lille ametoka kushinda mechi yake iliyopita, halikadhalika kwa mgeni naye.. Meridianbet wametoa ODDS 1.57 kwa 5.68 kwenye mechi hii. Beti hapa.

Huku Stade Brest yeye atakipiga dhidi ya AS Monaco majira ya saa 12:05 jioni ambapo timu hizi zinatofautina pointi moja pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 2 na mgeni yupo nafasi ya 3. Mara ya kwanza walipokutana Monaco alishinda. Je leo nani atashinda kwa ODDS 2.50 kwa 2.69?. Bashiri mechi hii sasa.

Mechi ya mwisho leo hii pale Ufaransa ni hii hapa ya PSG ambao ndio vinara wa ligi hadi sasa dhidi ya Lyon ambao wao wapo nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wamempa Paris nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.45 kwa 5.88. Tengeneza mkeka wako hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad