HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 29, 2024

SHINDA MAOKOTO NA MERIDIANBET EXPANSE TOURNAMENT.

 

Jisajili na Meridianbet kisha uwe wa kwanza kupata taarifa ya promosheni mpya kila siku, Bonasi za kasino na michezo ya kasino ya mtandaoni inakusubiri kukufanya uwe milionea mpya. Cheza shindano jipya la Expanse uingie kwenye kinyang’anyiro cha kitita cha mkwanja mrefu.

Expanse Studio ni mtoa huduma bora wa michezo ya kasino ambaye anafanya kazi na familia ya mabingwa Meridianbet, na sasa Meridianbet imeanzisha shindano maalum linalohusu michezo ya kasino kutoka Expanse, kila anayecheza anaingia kwenye nafasi ya kushinda bonasi za kasino mpaka Tsh 1,250,000/=

Kanuni za Shindano la Expanse Kasino ya Mtandaoni

Promosheni hii imeanza 18.04. 2024 ambapo bonasi za kasino zitagawiwa kwa washindi watakaokuwa wanatangazwa kila siku, baada ya kucheza moja kati ya michezo ya kasino ya mtandaoni iliyopo Meridianbet kutoka Expanse studio.

Promosheni ni halali kwa wachezaji waliosajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz

Promosheni itafanyika katika mtindo wa mashindano kwa wachezaji kwenye sloti zinazotolewa na Expanse Studio. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wa promosheni ni:

Battle of Egypt
Forest Rock
Fortune Farm
Lucky's Betting Shop
Maya's Treasure
Piggy Party
Spinning Buddha
Sticky 777
The Book of Eskimo
Veni Vidi Vici
Wild Corrida
Zombie Apocalypse
Battle for the Throne
Bounty Hunters
Capital City Derby
Casino Heist
Fairy in Wonderland
Odd One Out
Planet Power
Shaolin Crew

Wachezaji watashindana kwa mfumo wa pointi ambapo kila dau la jumla ya TZS 2,500 litatoa pointi 2. Dau la chini kwa kila mzunguko kwa promosheni hii ni TZS 400.

Kulingana na msimamo wa mwisho, wachezaji 40 watazawadiwa pesa taslimu na mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kama ifuatavyo:

Nafasi ya 1 – TSH 1,250,000
Nafasi ya 2 - TSH 750,000
Nafasi ya 3 – TSH 250,000
Nafasi ya 4 na 5 - TSH 125,000
Nafasi ya 6 mpaka 10 – Mizunguko 300 ya bure kwenye sloti ya PIA
Nafasi ya 11 mpaka 20 - Mizunguko 200 ya bure kwenye sloti ya PIA
Nafasi ya 21. mpaka 30 - Mizunguko 100 ya bure kwenye sloti ya PIA
Nafasi ya 31. mpaka 40 - Mizunguko 50 ya bure kwenye sloti ya PIA

Ushindi utakaotokana na Mizunguko ya bure utahitaji kuzungushwa mara 60x (kwa mfano, ukishinda TZS 10,000 kwenye Mizunguko ya bure, utahitaji kucheza TZS 600,000 kwenye mchezo uleule ili kuhamisha ushindi wako kwenye akaunti ya pesa halisi).

Taarifa kuhusu malipo ya juu kwa kila Kundi la Mizunguko ya bure, washindi watapokea taarifa ambayo itatumwa kwao si zaidi ya saa 13:00 AM tarehe 03.05.2024.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad