HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 1, 2024

Rais Mstaafu Dkt. Kikwete Ameungana na Mamia ya Waombolezaji Katika Mazishi ya Marehemu Abbas Kuka

 

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya marehemu Abbas Kuka, aliyekuwa mchezaji wa zamani wa @simbasctanzania na Red Star, katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni mapipa jijini Dar Jumapili Machi 31, 2024.

Marehemu Kuka, anayekumbukwa kamammoja wa viuongo bora nchini, alikuwa miongoni mwa wachezaji wa Simba walioweka historia mwaka 1979 ambapo baada ya Simba kufungwa nyumbani Dar es salaam 0-4 na

Mufulira Wanderers FC ya Zambia kwenye mashindano ya ubingwa wa Afrika, katika mechi ya marudiano ugenini walipindua meza na kuwafunga Mufulira Wanderers 5-0!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad