HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 28, 2024

BETI NA MERIDIANBET MECHI ZA LEO

 

IKIWA leo hii ni Jumapili tulivu kabisa, Meridianbet wanamkwambia leo ndio siku ya kupiga pesa kirahisi sana kwani huku kuna kila kitu kuanzia ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000, Ingia na ubeti sana.

Mapema kabisa itapigwa Dabi ya London kati ya mwenyeji Tottenham Spurs dhidi ya Arsenal ambao wametoka kushinda mechi yao iliyopita. Spura anashika nafasi ya 5 kwenye ligi huku The Gunners akiwa nafasi ya 1 kwenye msimamo. Mara ya mwisho kukutana walitoa sare, lakini ikumbukwe kuwa Arteta anahitaji ushindi zaidi leo. Je nani atibuka mbabe Dabi leo?. Mechi hii imepewa ODDS 4.50 kwa 1.67. Beti sasa.

AFC Bournemouth ataumana dhidi ya Brighton majira ya saa 10:00 jioni huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.16 kwa 3.04. De Zerbi wametoka kupoteza mchezo wao uliopita. Wewe unampa nani kuondoka na ushindi mechi ya leo? Jisajili hapa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Bingwa mtetezi Manchester City atakuwa ugenini kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Nottingham Forest ambao ni wa 17 kwenye ligi. Mechi ya kwanza kuonana City chini ya Guardiola waliondoka na ushindi. Mechi hii imepewa ODDS 10.78 kwa mwenyeji na 1.24 kwa mgeni. Suka jamvi lako hapa.

LALIGA itatimua vumbi leo pia ambapo saa 11:15 jioni Granada atakipiga dhidi ya CA Osasuna ambao wamepoteza mechi yao iliyopita huku wakiwa nafasi ya 11. Mwenyeji yupo nafasi ya 19 baada ya kutoa sare mchezo uliopita. Bashiri sasa mechi hii yenye ODDS 2.50 kwa 2.99.

Villarreal watawakaribisha Rayo Vallecano huku timu hizi zikitofautiana pointi 8 pekee. Nyambizi wa njano wapo nafasi ya 10 kwenye ligi wakati mgeni wake akiwa nafasi ya 15. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet. Ingia na ubashiri sasa.

Saa 4:00 usiku Real Betis atakuwa mwenyeji wa Sevilla ambaye amekuwa na msimu usiotabirika sana kutokana na kuwa na kiwango ambacho hakiridhishi. Mechi ya mkondo wa kwanza walitoa sare. Meridianbet wanampendelea sana mwenyeji kushinda kwa ODDS 2.04 kwa 3.67. Tengeneza jamvi hapa.

Ligi kuu ya Italia, SERIE A, nayo ni kivumbi leo Atalanta atapepetana dhidi ya Empoli ambapo timu zote zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. 1.42 kwa 7.05 ndio ODDS za mechi hii na mgeni anaingia uwanjani akikumbuka kupoteza mechi ya kwanza waliyokutana.

Nao Napoli baada ya kupigika mechi iliyopita, leo hii watawaalika nyumbani kwao AS Roma ambao ni wa 5 kwenye msimamo wa ligi. Naples anapewa nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.89 kwa 3.92. Tofauti ya pointi kati yao ni 9. Je leo nani kushinda?. Beti hapa.

Saa 3:45 usiku ACF Fiorentina ataumana dhidi ya Sassuolo Calcio ambao ambao wapo nafasi ya pili kutoka mwisho huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 9. Tofauti ya pointi kati yao ni 21 huku mechi ya kwanza walipokutana mwenyeji alipigika. Je leo atalipa kisasi?. Suka mkeka wako hapa.

LIGUE 1 mzigoni leo kama kawaida mechi ni nyingi sana FC Lorient ambao ni wa 17 watawaalika Toulouse FC ambao ni wa 11 huku wakitofautiana pointi 11 hadi sasa. Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi ya kushinda kwa ODDS 2.60 kwa 2.65. Ingia na ubeti sasa.

Saa 12:05 jioni Rennes atapepetana dhidi ya Brest ambao wamekuwa na mwenendo mzuri sana msimu huu wakishika nafasi ya 3 hadi sasa. Mechi ya kwanza walipokutana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuibuka na pointi tatu? Suka mkeka wako kwa ODDS za kijanja za 2.20 kwa 3.28.

Huku Lyon wao watacheza dhidi ya AS Monaco ambao ni wa pili kwenye msimamo wa ligi. Lyon ni 9 lakini mechi ya kwanza walishinda. Leo wamepewa ODDS 2.36 kwa 2.69 kushinda mechi hii. Je mgeni atakubali kuchapika nje ndani? Bashiri sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad