HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 20, 2024

ANZA JUMAMOSI YAKO NA MKWANJA WA MERIDIANBET

JUMAMOSI ya leo ODDS zimekaa kijanja sana ndani ya Meridianbet yaani ni kubwa kuanzia ligi ya hapa nyumbani mpaka kule Ulaya, hivyo unachotakiwa kufanya wewe ni kusuka mkeka wako na kubashiri sasa.

EPL leo ni ya moto sana ambapo mechi tatu kupigwa leo Luton Town dhidi ya Brentford ambao wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi huku mwenyeji akiwa nafasi ya 18. Meridianbet wamewapa Nyuki nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 2.11 kwa 3.09 huku mara ya mwisho kukutana Luton wlaipoteza. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi?. Bashiri hapa.

Huku kwa upande wa Sheffield United wao watakiwasha dhidi ya Burnley ambapo timu hizi hazitofautiani sana kwenye msimamo wa ligi. Wamepishana pointi 4 pekee huku mechi ya kwanza Vincent Kompany na vijana wake walishinda. Mechi hii imepewa ODDS 2.69 kwa 2.45. Jisajili sasa.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Majira ya saa 3:45 usiku Arsenal baada ya kupoteza mechi yao iliyopita wakiwa nyumbani, leo hii watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Wolves ambao wao walitoa sare. The Gunners chini ya Arteta wapo nafasi ya 2 huku Mbwa Mwitu akiwa wa 11. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Suka mkeka wako sasa.

Ligi ya Hispania pia itaendelea leo hii ambapo Rayo Vallecano atashuka dimbani kukipiga dhidi ya Osasuna majira ya saa 11:15 hioni huku mwenyeji akipendelewa zaidi kuchukua pointi tatu kwa ODDS 2.16 kwa 3.67. Tofauti za pointi kati yao ni 8 pekee. Beti sasa mechi hii.

Nao Valencia watapepetana dhidi ya Real Betis Seville ambao wametoka wamehsinda mechi yao iliyopita. Timu hizi zinafuatana kwenye msimamo wa ligi yani wa 7 na wa 8. Mechi ya mkondo wa kwanza Betis walishinda. Mechi hii ina ODDS KUBWA Meridianbet. Ingia na ubashiri.

Mechi ya mwisho leo Hispania ni hii ya Girona dhidi ya Cadiz ambao wapo kwenye nafasi za mwisho yaani ya 18. Girona yupo nafasi ya 3 na anapendelewa zaidi kushinda mechi hii kwa ODDS ya 1.40 kwa 7.25. Wewe beti yako unaipeleka wapi kati ya hizi timu mbili?. Suka mkeka wako hapa.

SERIE A, kama kawaida nayo leo kuna mechi mbili, saa 1:00 usiku Empoli atamenaya dhidi ya Napoli ambapo Naples anaingia uwanjani akikumbuka kipigo alichopoke akiwa nyumbani. Meridianbet wananmpa mgeni nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.64 kwa 4.90. Je ataweza moto wa mwenyeji wake. Beti sasa mechi hii.

Mechi nyingine ni hii ya Hellas Verona ambaye ataumana dhidi ya Udinese Calcio ambao walipoteza mchezo wao uliopita. Mechi ya kwanza walitoshana nguvu. Leo nani ataibuka mbabe?. Bashiri mechi hii ambayo imepewa ODDS 2.55 kwa 2.89.

Pia BUNDESLIGA mechi kibao zitapigwa ambapo RB Leipzig atakuwa ugenini leo kusaka pointi 3 dhidi ya FC Heidenheim ambaye ni wa 10 kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati ya timu hizi ni 22, na mechi hii imepewa ODDS 6.46 kwa mwenyeji na 1.42 kwa mgeni. Ingia na ubashiri sasa.

Wolfsburg wao watawakaribisha Bochum ambapo timu hizi kwenye msimamo wa ligi zinafatana mwenyeji akiwa wa 14 na mgeni akiwa ni wa 15. 1.78 na 4.21. Unafikiri nani ataondoka na pointi tatu?. Tengeneza jamvi lako hapa sasa.

Huku Union Berlin baada ya kupoteza mechi yake iliyopita atamkaribisha Bayern Munich ambaye ametoka kushinda mechi yake iliyopita. Mechi ya kwanza wlaipokutana, Munich alishinda. Je na leo anaweza kuendeleza ubabe akiwa ugenini?. Mechi hii imepewa ODDS 4.80 kwa 1.62. Suka jamvi hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad