Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa Mikocheni nyumbani kwa baba yake akiendelea kupokea mkono wa pole kutoka kwa Rais Mstaafu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea jana tarehe: 29 Februari 2024.

Friday, March 1, 2024

Home
Unlabelled
RAIS DKT. HUSSEIN MWINYI AKIWA NYUMBANI KWA BABA YAKE AKIENDELEA KUPOKEA MKONO WA POLE

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment