HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 1, 2024

MWILI WA ALIYEKUWA RAIS HAYATI ALHAJ ALI HASSAN MWINYI UKIWASILI KWENYE UWANJA WA UHURU

 Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya pili Hayati Alhaj Ali Hassan Mwinyi ukiwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tayari kwaajili ya shughuli iliyoandaliwa kitaifa ya kuaga leo Machi 1, 2024 . Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango anaongoza shughuli hiyo ya taifa kwa niaba ya Rais Samia Suluhu.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad