Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwa ofisini kwake akitekeleza majukumu yake ya kikazi katika Makao Makuu ya IPU Geneva, nchini Uswisi leo Machi 21, 2024.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments:
Post a Comment