HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 24, 2024

Rais Samia SAhudhuria Mazishi ya Kitaifa ya Aliyekuwa Rais wa tatu wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob Jijini Windhoek

Rais Samia Suluhu Hassan ahudhuria Mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa tatu wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Windhoek.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tatu wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob Jijini Windhoek tarehe 24 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob tarehe 24 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Burundi Mhe. √Čvariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Namibia Marehemu Dkt. Hage Geingob tarehe 24 Februari, 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad