HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 20, 2024

PIGA MKWANJA NA MECHI ZA UEFA LEO

 


MAMBO vipi mteja wa meridianbet?. Ligi ya mabingwa barani Ulaya inaendelea hii leo kwa hatua ya 16 kwa timu ambazo wiki iliyopita hazikucheza. Na wewe mteja una nafasi ya kupiga mkwanja ukibashiri na meridianbet leo.

Tukianza na mechi za Inter Milano dhidi ya Atletico Madrid ambayo itapigwa saa 5:00 usiku huku Inter akiwa ndiyo mwenyeji wa mchezo huu. Mchezo huu utapigwa katika dimba la Giuseppe Meazza huku nafasi za kushinda mechi hii akipewa Inzaghi na vijana wake kwa ODDS ya 1.75 kwa 4.80 kushinda mechi hii.

Timu hizi ikumbukwe kuwa moja inatokea Italia na nyingine inatokea Hispania hivyo kukutana mara kwa mara sio rahisi huku mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2018 kwenye Champions Cup na Inter alishinda.

Meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Ikumbukwe kuwa Simone Inzaghi ndio vinara wa ligi kule Serie A baada ya kuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo huku Atletico yeye akishika nafasi ya 4 kwenye msimamo wa ligi hadi sasa.

Inter ameshachukua kombe hili mara 3 huku Diego Simeone akiwa bado hajachukua kombe hilo mpaka sasa. Inter ni wanafainali wa UEFA ambao walimenayan na City na kupoteza. Je msimu huu anaweza fika wapi?. Je atafanya nini leo hii nyumbani kwake akiwa na wachezaji kama kina Lautaro Martinez, Barella, Thuram na wengine wengi.

Jumanne ya leo UEFA inaendelea hatua za 16 bora, na huu ndio muda wa wewe kujipigia mkwanja sasa tengenzeza jamvi lako na upige pesa hapa.

Mechi nyingine ya kuvutia kabisa na yenye ODDS KUBWA itakuwa ni kati ya PSV Eindhoven kutoka Uholanzi dhidi ya Borussia Dortmund kutoka kule Ujerumani. Meridianbet wamempa mwenyeji nafasi kubwa ya kuondoka na pointi zote 3 kwa ODDS 2.14 kwa 3.14.

PSV ndio kinara wa ligi ya Eredivisie huku Dortmund wao chini ya kocha mkuu wakiwa nafasi ya 4 kule Bundesliga baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana timu hizi ilikuwa mwaka 2017 ambapo ilikuwa mechi ya kirafiki na Terzic na vijana wake kipindi hiko walishinda.

Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Je ni BVB au PSV?. Jisajili na ubeti hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad