HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 22, 2024

KILI MARATHON 2024 YAIVA WANANCHI WAJITOKEZA KUCHUA NAMBA

 


Mwonekano mabango ya wadhamini wa mbio za Kilimanjaro Intarnational Marathoni,zinazo tarajiwa kufanyika febwari 25 katika viwanja vya Chuo kikuu cha ushirika moshi Mkoa wa Kilimanjaro.
Wakazi wa Mji wa Moshi na wageni toka mataifa mbalimbali,wakiwa kwenye foleni ya kuchukuwa namba za kukimbia Mbio za Kilimanjaro Intarnational marathoni 2024,zoezi la uchukuaji nambalinaendelea katika uwanja wa chuo kikuu cha ushirika moshi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad