HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 26, 2024

JAMBOJET KUANZA RASMI SAFARI ZA NDEGE MOJA KWA MOJA ZANZIBAR HADI MOMBASA

 

Bw. Karanja Ndegwa, Mkurugenzi Mtendaji wa Jambojet (kushoto), Mheshimiwa Dkt. Khalid Salum Mohamed, Waziri wa Miundombinu, Mawasiliano, na Usafirishaji, Zanzibar (katikati), wanaungana mikono kutangaza rasmi kuanzishwa kwa safari za moja kwa moja kati ya Zanzibar na Mombasa, zitakazoanza mwezi Julai huku Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar (ZAA), Seif Abdallah Juma (kulia), akishuhudia."
Kutoka kushoto kwenda kulia: Farouq Karim (Mkuu wa Ofisi ya IPP Media, Zanzibar), Cynthia Otoro (Mkuu wa Masoko na Mauzo, JamboJet), Karanja Ndegwa (Mkurugenzi Mtendaji, JamboJet), Mheshimiwa Dkt. Khalid Salum Mohamed (Waziri wa Miundombinu, Mawasiliano, na Usafirishaji, Zanzibar), Seif Abdallah Juma (Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar - ZAA), Prudence Glorious (Mkurugenzi Mtendaji, PZG PR) na (, Philip Ndirangu (Meneja wa Mikakati na Uenezi, Jambojet) katika picha ya pamoja baada ya mkutano na kuwasilisha mipango ya JamboJet ya kuanzisha rasmi safari za ndege moja kwa moja Zanzibar hadi Mombasa ifikapo Julai, 2024 kwa Mheshimiwa Waziri mwenye dhamana ya miundombinu. Mkutano huu ulifanyika katika Baraza La Wawakilishi, Zanzibar.”

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad