HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 18, 2024

DKT. NCHIMBI AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA UWANJA WA KIA, MKOANI KILIMANJARO


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi, akisalimiana na kubadilishana mawazo na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, alipokutana nao wakati wa kusubiria usafiri, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), mkoani Kilimanjaro.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad