HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 15, 2024

ALHAMISI NI KWAAJILI YA EUROPA LEAGUE

 BAADA za kushuhudia mechi za ligi ya mabingwa siku hizi mbili, leo hii ni siku ya EUROPA LEAGUE hatua ya 16 bora ambapo kutakuwa na mechi kibao zenye ODDS KUBWA plae meridianbet. Ingia sasa na ubashiri.

Majira ya saa 2:45, AS Roma kutoka kule Italia itakuwa ugenini dhidi ya Feyenoord ambao wanapigiwa upatu kushinda mechi hii pale meridianbet wakiwa na ODDS 2.11 kwa 3.38. Mechi hiyo itapigwa katika dimba la De Kuip huku mara ya mwisho kukutana, Roma alishinda mechi hiyo. Je leo hii mwenyeji kulipa kisasi?. Suka mkeka wako hapa.

Nao Galatasaray Instanbul baada ya kutolewa kwenye ligi ya mabingwa na kuangukia kwenye ligi ya EUROPA, leo hii atakuwa mwenyeji wa Spart Prague kwenye mechi za kwanza za mtoano huku ushindi akipewa mwenyeji kwa ODDS 1.64 kwa 5.09. Je nani kushind amechi hii leo. Jisajili ubeti sasa.

Vile vile Meridianbet wanakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Utamu mwingine wa mechi hizi utakuwa kule Ukrain ambapo FC Shakhtar Donetsk atakipiga dhidi ya Olympique Marseille kutoka kule Ufaransa. Wawili hawa walipokutana mara ya mwisho mwenyeji alioshinda mechi zote mbili. Je leo hii nani kuondoka na ubabe?. Mechi hii imepewa ODDS 3.23 kwa 2.20. Tengeneza jamvi lako sasa.

Mechi ya pesa pia ni hii za Young Boys Bern kutoka Uswizi dhidi ya Sporting Lisbon ya Ureno huku timu hizi mara ya mwisho kukutana, ilikuwa kwenye mechi ya kirafiki ambapo Sporting alishinda. Na meridianbet wamempa tena leo hii mgeni kushinda kwa ODDS 1.73 kwa 4.31. Wewe beti yako unaiweka wapi leo?

Kule Ureno pia kutakuwa na mechi nyingine ya Benfica Lisbon ambao ndio vinara wa ligi ya ureno ambao watawakaribisha Toulouse FC za Ufaransa. Mechi hii imepewa ODDS 1.33 kwa 8.62. Unasubiri nini sasa uka jamvi lako na ujumuishe mechi hii.

Nao vijana wa Stephano Pioli AC Milan ambao wapo nafasi ya tatu kwenye ligi ya Italia, leo hii watakuwa pale San Siro kumenyana dhidi ya Stade Rennes za Ufaransa. Ukumbukwe kuwa Milan waliangukia EUROPA baada ya kuitokikidhi vigezo vya kuwa Ligi ya mabingwa. Je wanaweza kushinda leo hii pale kwao?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet bashiri sasa.

Saa 5:00 usiku RC Lens watakuwa wenyeji wa SC Freiburg kutoka kule Ujerumani huku nafasi kubwa ya kuondoka na pointi tatu akipewa Mfaransa akiwa na ODDS 1.76 kwa 4.60. Je nani ataondoka na ushindi hii leo?. Tengeneza mkeka wako haraka na meridianbet.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad